BENKI YA CRDB YASHEREHEKEA SIKU YA FAMILIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Beniki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za Siku ya Familia iliyofanyika katika hoteli ya Kunduchi Dar es Salaam na kuwashirikisha wafanyakazi wa benki hiyo na familia zao. 

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Dorah Ngalika akizungumza katika sherehe za Siku ya Familia ya wafanyakazi wa benki ya CRDB.

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki  ya CRDB, Ally Hussein Laay akizungumza katika sherehe za Siku ya Familia ya wafanyakazi wa benki ya CRDB.

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akiwasaidia watoto kupata chakula katika sherehe hiyo.

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki  ya CRDB, Ally Hussein Laay (katikati) akikabidhi kombe kwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Holland House, John Almasy (kulia) wakati wa sherehe ya Siku ya Familia iliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Azikiwe Premier, Fabiola Mussula akiwa ameshika kombe baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi.

Mtoto Amina Juma akipokea zawadi baada ya kuibuka mshindi katika kucheza muziki.

Mtoto Esther Ernest akipokea zawadi kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki  ya CRDB, Ally Hussein Laay (katikati). Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.  

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki  ya CRDB, Ally Hussein Laay (kulia) akimvisha medali mchezaji wa timu ya kuvuta kamba ya Tembo Card, Shaaban Badi.

 

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki  ya CRDB, Ally Hussein Laay (wa pili kushoto) akimkabidhi kombe mchezaji wa timu ya kuvuta kamba ya Tembo Card, Shaaban Badi.

Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (wa pili kulia) akiwa na baadhi ya maofisa wa benki hiyo.

Baadhi ya zawadi.

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki  ya CRDB, Ally Hussein Laay akiwa ameshika kombe.

 

Zawadi kwa washindi zikitolewa.

Picha ya Pamoja.

 

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki  ya CRDB, Ally Hussein Laay (katikati) akimkabidhi kombe Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Vijana, Pelesi Fungo.

Washindi wakisherehekea na kombe lao.

Watoto wakicheza

 

(function($){ $(document).on('ready', function() { }); })(jQuery);