Benki ya CRDB yawakabidhi washindi wa kampeni ya “Shinda na TemboCard” tiketi zao za kwenda Dubai

Mkurugenzi wa Idara ya masoko, utafiti na huduma kwa wateja Bi. Tully Esther Mwambapa (katikati) katika hafla ya kuwakabidhi washindi tiketi za kwenda Dubai. Kushoto ni Bi. Juliana Utamwa na Kulia ni Bi.Dorisia Nanage wakisubiri kukabidhiwa tiketi zao.


Washindi wa Benki ya CRDB wa shindano la kampeni ya “Shinda na TemboCard” Bw. Ismail Jimroger (watatu kutoka kushoto) akiwa na mkewe Bi. Modesta Iganga na watoto wake Sharmeel Jimroger na Sharleen Jimroger wakiwa na Bi. Juliana Utamwa na mdogo wake Bw. Noah Utamwa wakiwa uwanja wa ndege wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere tayari kuanza safari yao kuelekea nchini Dubai.
(function($){ $(document).on('ready', function() { }); })(jQuery);