Customer Service Week 2016

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay (katikati) katika picha ya pamoja na maofisa ya benki ya CRDB tawi laMlimani City ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Watejana (wa tano kushoto ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango.


Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay (kushoto) akiwaongoza wateja wa Benki hiyo tawi la Mlimani City kunyanyua juu glasi zilizokuwa na kinywaji cha shampeni.


MOODY'S ASSIGNS FIRST TIME RATING TO CRDB BANK PLC

I am pleased to inform you that Moody's investor services, the world's leading rating agency, recently conducted an assessment of CRDB Bank's creditworthiness and assigned an impressive rating of B1 with stable outlook in an announcement made worldwide on 16th August 2016. The rating makes CRDB Bank the first and only financial institution to be rated in Tanzania. In Sub-Saharan Africa, with an exception of banks in South Africa and Mauritius, this is the highest rating to have been assigned to financial institutions by Moody's. Thus, the rating places CRDB Bank amongst the most stable and safe African Banks.

CRDB Bank yazindua kituo cha kisasa cha kutolea huduma “Premier Club” pamoja na kadi ya kimataifa ya TemboCardVisa Infinite

Dar Es Salaam Tanzania, September 02, 2016 – Benki ya CRDB leo imezindua kituo cha kisasa kwa ajili ya kuwahudumia wateja wakubwa kijulikanacho kama “Premier Club” pamoja na kadi mpya yenye viwango vya kimataifa ya TemboCardVisa Infinite katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Serena iliyopo katikati ya jiji ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson na kuhudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Juliana Pallongya pamoja na wateja wa Benki hiyo..

(function($){ $(document).on('ready', function() { }); })(jQuery);